Wednesday 1 July 2015

AJARI YA BASI NA TRENI MOROGORO MAJERUHI NA WALIYO KUFA NIFATE HAPA MTU WANGU

LAYIII
Stori kubwa kutoka Morogoro leo July 01 2015 inahusu ajali ya basi aina ya Isuzu lililokuwa limepakia abiria ambalo limegongana na treni katikati ya Stesheni ya Kimamba na Kilosa.

Ajali ya Treni na basi la abiria Morogoro, kuna majeruhi na waliofariki.. #RIP

.
.
Stori kubwa kutoka Morogoro leo July 01 2015 inahusu ajali ya basi aina ya Isuzu lililokuwa limepakia abiria ambalo limegongana na treni katikati ya Stesheni ya Kimamba na Kilosa.

Ajali imetokea leo saa tano asubuhi, watu wanne wamefariki na kuna majeruhi 21 ambao walikimbizwa Hospitali baada ya kutokea kwa ajali hiyo… Majeruhi walipakiwa kwenye treni kuwahishwa Hospitali.
Hizi ni picha nilizozipata kutoka eneo la ajali hiyo Morogoro.
.
.
.
.
.
qqq
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment

advertise here