LAYIII
MSAFARA WA LOWASA WAZUIWA GAIRO MOROGORO... WANAKIJIJI WATAKA JAPO WAMSALIMIE
Msafara wa Lowasa wazuiliwa huko Gairo leo wakiwa wanaelekea Dodoma kwa
kile wanachokiita Mvuto wa kiongozi . Hivyo wananchi wapenda maendeleo
walitaka japo kumsalimia tu..
No comments:
Post a Comment