Wednesday, 1 July 2015

NUSU NUSU YA JOMAKINI SASA IKO JUU KATIKA MTV BASE

LAYIII

GoodNews ni hapa ilipofikia #NusuNusu ya Joh Makini kwenye Chati ya MTV Base.. (Video)
 Rapper kutokea kundi la Weusi, Joh Makini anazidi kupanda chart baada ya video ya wimbo wake ‘Nusu Nusu‘ aliyomshirikisha G Nako kushika namba moja kwa sasa kwenye  ‘Official African Chart‘ ya Kituo cha Television cha MTV  Base.

eeeeeee
.

rrrrrr
.
Hii kitu imempa furaha kubwa Rapper Joh Makini, akapost picha na maneno haya kwenye ukurasa wake @Instagram >>> “Men lie woman lie numbers don’t No.1  official african chart  mtv base africa NusuNusu  Ishi Ndoto Yako  Mungu Ni mwema kukosoa ni kazi rahisi ngumu nikuwa hapa i see me international i do it for hip hop GODENGENEERING..“–@joh_makini
ttttttttttttttttttttttttt
.
Huu ni wimbo wa kwanza wa Joh Makini kuwahi kuingia kwenye chart hizo na kushika namba MOJA !!
ttttttttttttttttttttttttt
.
Hii hapa sasa ‘Nusu Nusu’ ya Mweusi Joh Makini, unaweza enjoy kwa kuiplay tena na tena mtu wangu !!

No comments:

Post a Comment

advertise here