Monday, 6 July 2015

BAADA YA KUKOSA HOUSE GIRL SIARA AMEAMUA HAYA

LAYIII
Msanii maarufu wa R&B Ciara hivi karibuni alifanya interview kuzungumzia maisha yake ya kuwa mama yakoje na anawezaje kuwa mama na mwanamuziki kwa wakati mmoja… Ciara alikuwa na mengi ya kuongea kuhusu life yake  ya sasa hivi.

Ciara amekosa Housegirl? Haya ndio maisha yake na mtoto wake.. (Pichaz)

ciara-facebook-ciara
Msanii maarufu wa R&B Ciara hivi karibuni alifanya interview kuzungumzia maisha yake ya kuwa mama yakoje na anawezaje kuwa mama na mwanamuziki kwa wakati mmoja… Ciara alikuwa na mengi ya kuongea kuhusu life yake  ya sasa hivi
.
Kikubwa alichokisema Ciara kwenye interview hiyo ni kwamba ameamua kumuajiri baba yake baada ya kufanya interview nyingi na kukosa dada atakayefaa kushinda na mwanae.
Ciara alitoa na majibu kuhusu malezi yake na mtoto wake.
CIARA AND BABY 2
>>> Mwanangu yupo na mimi muda wote, na popote nitakapokwenda yeye yupo… Pili mazingira ambayo mimi nipo muda mwingi yamezungukwa na wanawake wengi, nilitaka nihakikishe mwanangu atakuwa kwenye mikono salama“>>> Ciara.
Ciara_kid_31 2
>>> Nilifanya maamuzi ya kumuajiri baba yangu baada ya kufanya interviews kama 20 na kukosa dada atakayefaa kushinda na mwanangu, sababu nyingine iliyonisukuma kufanya hivi ni mazingira yanayonizunguka kuna wanawake wengi nikaona hii itamuathiri mtoto kisaikolojia“>>> Ciara.
zahir 2
Ciara akiwa na baba yake pamoja na mwanae.
>>> Kwahiyo nikazungumza na baba yangu, na ilikuwa rahisi kuzungumza nae kuhusu hili kwa sababu anapenda watoto, pili alinilea vizuri na nilihisi uwepo wake utamsaidia sana mwanangu haswa kisaikolojia kwa sababu atakuwa na mtu ambaye anaona yupo kama yeye, baba alikubali“>>> Ciara.

 


No comments:

Post a Comment

advertise here