LAYIII
Diamond Platnumz
Hata hivyo, hakukata tamaa na ni kutokana na moyo wake huo wa kutokubali kushindwa kwa urahisi ameweza kufanikiwa na kuwa miongoni mwa nyota wachache wa muziki anayetamba aliye kijana tajiri mkubwa kwa sasa hapa nchini.
Diamond kabla ya mafanikio
Kampuni ya Coca-Cola Afrika ya Kati, Mashariki na Magharibi imezindua kampeni mahsusi ijulikanayo kama ‘Sababu Bilioni za Kuamini’ inayolenga kuwahamasisha vijana wa Kitanzania kujiamini pindi wanapopita katika changamoto mbalimbali zinazowakabili kimaisha kabla ya kutimiza ndoto zao. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itaendeshwa nchi nzima.

Nyota
wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ni miongoni mwa vijana
wanaotolewa mfano katika dhana hii. Alitengeneza single zaidi ya 20
kabla ya kufanikiwa na hatimaye kufikia katika mafanikio makubwa
aliyonayo sasa..
Mwaka
2007 Diamond alifanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuuza
mitumba, kufanya kazi katika vituo vya kujaza mafuta pamoja na kupiga
picha mitaani ili aweze kupata fedha zilizohitajika studio.Diamond Platnumz
Hata hivyo, hakukata tamaa na ni kutokana na moyo wake huo wa kutokubali kushindwa kwa urahisi ameweza kufanikiwa na kuwa miongoni mwa nyota wachache wa muziki anayetamba aliye kijana tajiri mkubwa kwa sasa hapa nchini.
“Kupitia
kampeni hii, Coca-Cola itaweza kuwaletea simulizi zaidi juu ya
mafanikio ya watu ambao hawakukata tamaa licha ya kutofanikiwa mara
kadhaa katika safari zao za kuelekea kwenye mafanikio. Sababu
zilizowafanya wasikate tamaa ni kutokana na imani yao kuwa kuna siku
ambayo wangekuja kufanikiwa. Na hicho ndicho tunachotaka vijana wa
Kitanzania waweze kuiga. Wawe na moyo wa kutokata tama licha ya
kukumbana na changamoto nyingi katika safari yao kuelekea katika
mafanikio,” Meneja wa Bidhaa za Coca-Cola Tanzania, Maurice Njowoka.
Coca-Cola
imewekeza katika programu ya soka kwa vijana ijulikanayo kama Copa
Coca-Cola ambapo vipaji vya wachezaji nyota kama vile Thomas Ulimwengu
anayecheza soka la kulipwa katika timu ya TP Mazembe ya nchini Congo na
mfungaji bora wa ligi kuu nchini Simon Msuva anaechezea Yanga vimeweza
kuibuliwa na Copa Coca-Cola. Vile vile Coca-Cola inasaidiia kuinua
wanamuziki wa Tanzania kupitia programu ya Coke Studio.
Simon Msuva
Thomas Ulimwengu
Simon Msuva
Thomas Ulimwengu
Katika
kipindi hicho cha kampeni, Kampuni ya Coca-Cola itakutana na kuwafikia
kwa karibu zaidi vijana shuleni na maeneo mengine wanakoishi ili
kuwawezesha kutambua uwezo walionao katika kufanikisha maisha yao.
Itawawezesha kusimulia hali halisi ya maisha yao na ndoto wanazokusudia
kuzifanikisha katika maisha. “Coca- Cola inatumia kampeni hii
kuwahamasisha na kuwajengea uwezo ninyi vijana wa Kitanzania muweze
kujiamini kutokana na uwezo mlionao katika dunia tuliyomo ambayo mambo
yasiyo na uhakika yanazidi kuongezeka,” alisema Njowoka.
Kampeni
ya Sababu Bilioni za Kuamini (Billion Reasons to Believe- BRTB)
inalenga kuwafanya vijana wajiamini na kutoyumba katika kuzifikia ndoto
walizojiwekea licha ya mara kadhaa kukumbana na changamoto zilizowafanya
kutofanikiwa kila walipojaribu katika hatua za awali.
Sababu
Bilioni za Kuamini ni kampeni inayoendeshwa kwa njia mbalimbali ambazo
ni pamoja na TV, radio, matumizi ya njia za kidigitali na matangazo ya
nje ikiwa ni pamoja na shughuli za maonyesho ili kuwezesha ushiriki wa
watu wengi nchi nzima.
No comments:
Post a Comment