Monday 6 July 2015

JINSI CHRISTIAN RONALDO ALIVOWAACHA WAANDISHI KWENYE MATAA

LAYIII
Mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ametoa kali  baada ya kuondoka katikati ya kipindi cha runinga wakati akihojiwa na Televisheni ya Sports News.
Kitendo cha mchezaji huyo kuondoka kulisababishwa na kuulizwa swali kuhusu mchezaji mwenzake beki Sergio Ramos. kama ataendelea kubaki Real Madrid au kujinga na Manchester United swali lililoonekana kumkera.

Swali likamchefua Christiano Ronaldo, kawaacha waandishi wa habari kwenye mataa..(Video)

RONAMwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ametoa kali  baada ya kuondoka katikati ya kipindi cha runinga wakati akihojiwa na Televisheni ya Sports News.
Kitendo cha mchezaji huyo kuondoka kulisababishwa na kuulizwa swali kuhusu mchezaji mwenzake beki Sergio Ramos. kama ataendelea kubaki Real Madrid au kujinga na Manchester United swali lililoonekana kumkera.
akivua
 Ronaldo alijibu hajui lolote lakini gafla alitoa headphones shingoni na kumshukuru mtangazaji kisha kuondoka zake kabla kipindi hakijamalizika.

No comments:

Post a Comment

advertise here