Thursday 16 June 2016

KAMANDA SIRRO: TUTAMFUNGULIA ZITTO KESI YA UCHOCHEZI

SUBSCRIBE HAPA
Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna
siasa. 
ULIKOSA KUONA BAADHI YA HOTUBA ZA ZITTO KABWE CHEKI KTK VIDEO HII
 

No comments:

Post a Comment

advertise here