LAYIII
Chanzo na bbc wahili
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Bwana Cruz alisema uvumi huo ni takataka na akasema kuwa anaelewa kuwa uvumi ulianzishwa na Bwana Trump ambaye alisema hastahili kuwa Rais.
Bwana Trump alisisitza kuwa hakuhusika vyo vyote na uvumi huo.
Chanzo na bbc wahili
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Wagombeaji wawili wa Urais wa chama cha Republican nchini Marekani wamegombana vikali na kurushiana matusi juu ya wake zao.
Seneta
wa Texas, Ted Cruz, amemlaumu mpinzani wake, mfanyabiashara Donald
Trump kwa kuzusha uvumi kuwa yeye alikuwa mzinifu na kumdanganya mkewe,
Heidi.Bwana Cruz alisema uvumi huo ni takataka na akasema kuwa anaelewa kuwa uvumi ulianzishwa na Bwana Trump ambaye alisema hastahili kuwa Rais.
Bwana Trump alisisitza kuwa hakuhusika vyo vyote na uvumi huo.
No comments:
Post a Comment