LAYIII
Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa ninayo stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop kutokea 96.0 (Tanga) Roma Mkatoliki ambaye single yake mpya ilizuiliwa kwenye baadhi ya vituo vya radio nchini.

Msanii huyo alipokutana
na ripota wa millardayo.com aliweza kuelezea sababu zilizopelekea
kuzuiliwa kwa single yake mpya iitwayo Viva Roma na kusema..’Kiukweli
jana ndio ilikuwa tarehe 9 mwezi wa tisa ambayo nilitoa ahadi kwa watu
kuwa nitaachia wimbo wangu mpya unaoitwa Viva Roma na asubuhi mapema
kabisa kwenye ukurasa wangu wa instagram nilipost picha ikionesha napaki
CD zangu nikiwa tayari kuisambaza kazi yangu mpya mimi na timu yangu
nzima ya Tongwe Records; – Roma Mkatoliki
‘Ila
mpaka sasa tunavyoongea tumeshaisambaza katika vituo vyote mbalimbali
sehemu ambayo bado ni kwenye mitandao tu kama blogs, website na nchi za
jirani ila jibu nililopewa na baadhi ya vituo vya radio ni kwamba
wameikataa kuicheza ngoma yangu kwasababu wanachodai kwamba ina maneno
makali huku vituo vingine vikiwa vinacheza verse moja tu kiukweli
imenisikitisha lakini kwa upande wa mashabiki wanasema wimbo ni mzuri na
sio kama ninalaumu vituo vya radio ila ndio maamuzi yao – Roma Mkatoliki
No comments:
Post a Comment