Siku ya juzi March 21 2015 staa wa muziki Bongo, Meninah alifanya party na watu wake wa nguvu hapahapa Dar ambapo party hiyo aliifanya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Baada ya party hiyo aliona sio vibaya akiitumia siku yake ya jana kushare happy na fans wake pale Maisha Club, watu wakaungana kucheki show yake ya nguvu aliyoifanya usiku wa jana.
Cheki sehemu ya burudani hiyo kwenye hizi pichaz
No comments:
Post a Comment