Monday, 16 May 2016

VIDEO MPYA YA MADEE UTAIPENDA NDANI YUMO KAJALA NA STAN BAKKORA

LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA 
Ni hit single ya mkali kutokea Tiptop Connection na ametimiza ahadi kama alivyosema, director ni Mtanzania Adam Juma… ukishaitazama hii video hapa chini usiache kutoa comment yako maana Madee atapita kujua raia wake wameipokeaje




ULIONA SWAGA ZA JOKATE MASHABIKI MIDOMO WAZI CHEKI HAPA

No comments:

Post a Comment

advertise here