Tuesday, 18 August 2015

KICHUPA HIKI CHA TYGA NI OFFER TOSHA KWA WANAHIP HOP

LAYIII

tyga2
Msanii wa Hip Hop Marekani kutoka kwenye kundi la Cash Money Records Tyga amerudi kuziweka headlines zake kwenye ubao wa burudani.

tyga3
Time hii anakuja na kichupa chake kipya kabisa,ngoma inaitwa Bussin Out Da Bag na kama wewe ni mpenzi wa muziki mzuri wa Hiphop basi utapenda kuisikiliza na kuitazma video hii kutoka kwa Tyga.

No comments:

Post a Comment

advertise here