LAYIII
Jana nilikusogezea stori kuhusiana na huu mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) sasa hapa ni time ya kuona hizi picha za muonekano wa mabasi hayo kwa ndan na nje..

Jana nilikusogezea stori kuhusiana na huu mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) sasa hapa ni time ya kuona hizi picha za muonekano wa mabasi hayo kwa ndan na nje..
Waziri wa Nchi ya Waziri Mkuu, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akiwa katika kiti cha dereva.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Kulia) na (nyuma) Kamanda Kova ni miongoni mwa walioshiriki uzinduzi wa mabasi hayo.
No comments:
Post a Comment