LAYIII
50 Cent
amerudi kuziandika headlines zake kwenye kurasa za burudani, baada ya
headlines nyingi za yeye na issue za mali na Mahakama 50 kaamua atupooze
kidogo. Siku chache zilizopita 50 Cent aliachia kichupa kipya alichokipa jina 9 Shots.
Kama ilikupita na hukubahatika kuiona, nimekusogezea video hiyo hapa chini mtu wangu bonyeza Play kuitamza.
No comments:
Post a Comment