Sunday, 12 July 2015

ONA KIPOFU ALIVYO PATA PESA YA KWENDA STUDIO KUTOKA KWA WAPITANZIA

LAYIII
Eddie alikua kipofu kabisa wakati akiwa na miaka 11 na kazi yake ya kujipatia kipato ikawa na kucheza gitaa katka mitaa ya Florida UAS… I mean USA..
So eddie amekua anabarikiwa sana, sana sana, yaaani sana na watu kumchangia kwa miaka mingi sana, tena sana…….. lakini sasa unajua hizi ela anazopata huyu jamaa anazifanyia nini, wala ja




Eddie alikua kipofu kabisa wakati akiwa na miaka 11 na kazi yake ya kujipatia kipato ikawa na kucheza gitaa katka mitaa ya Florida UAS… I mean USA..
So eddie amekua anabarikiwa sana, sana sana, yaaani sana na watu kumchangia kwa miaka mingi sana, tena sana…….. lakini sasa unajua hizi ela anazopata huyu jamaa anazifanyia nini, wala jamaa hata hatumii zote badala yake anazirudisha na kuzigawa kwa wanajamii wengine. Mwenyewe ana a.k.a yake anajiita “The Florida Blind Boy” na anagawa hizo hela kupita redioni kwa watu wanaopiga simu katika radio moja hivi kwa jina la WRXB Am.


No comments:

Post a Comment

advertise here