Sunday, 12 July 2015

KWA NDUGU ZANGU WALEMAVU TEKNOLOJIA HII NI MSAADA SANA KWAO

LAYIII

Kwanza muonekano wake ni Simple Tu

kitu cha kupanda ngazi kwako kinaweza ni kitu rahisi sana ila kwa kweli inaweza kuwa ni kitu kigumu kwa wale walemavu ambao hawawezi kupanda hizo ngazi, ila sasa kiti cha Scalevo
wheelchair kinaweza kubadilisha hili tatizo.
Hiki kiti cha walemavu ni project ya wanafunzi kumi a.k.a ten Swiss students ambao walianza hii project tangu mwaka jana
Check Video Kinavyofanya Kazi..

Mambo Ya Tekinologia…….



No comments:

Post a Comment

advertise here