LAYIII
BONYEZA PICHA YA TALE KUMSIKILIZA MTOTO HAPPY USIACHE KUSUBSCRIBE YOUTUBE
Meneja wa Tip Top Connection na WCB, Babu Tale, amefunguka kuwa anatamani kumsaidia Ray C kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya na kumrejesha vizuri kwenye muziki kama zamani kwakuwa naye aliwahi kumsaidia.
Akiongea kupitia kipindi cha The Playlist cha Times FM, Jumamosi iliyopita, Tale alidai watu wengi hawajui Ray C alimsaidia kwa kiasi kikubwa kukaa kwenye ramani nzuri kisanaa kama alivyo leo.
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA MERIDIANBET NA UJISHINDIE ZAIDI YA MILIONI 10 KILA SIKU MTU WANGU
-Bongo5

“Natamani sana kumsaidia Ray C, natamani mno, zamani nilikuwa naigiza sauti za watu hata mia, ikaenda kipindi hicho Ray C anafanya kazi East Africa nilikuwa nafanya naye mi kazi yangu ilikuwa kugeza sauti, wakina mzee Msekwa nini,” alisema Tale.
“Na mimi ndiyo nilimchukua Babu Ayubu, sikuwahi isema hii, sijaonana naye ila nimepanga ndani ya siku hizi mbili nione namna ya kumsaidia,”aliongeza.Tale aliongeza kuwa imefika wakati Tanzania kijengwe kituo maalum (rehab) kwaajili ya watu maarufu ambacho wasanii na watu maarufu wengine watakuwa hawachanganywi na watu wa kawaida.
-Bongo5
No comments:
Post a Comment