Basi post hii naitumia kukupa info na pichaz kwamba mastaa wa Nigeria, Peter and Paul a.k.a P Square wamenunua nyumba mbili huko Atlanta Georgia Marekani, sehemu ambayo mastaa wengi wa Marekani pia wanaishi au kumiliki nyumba mfano T.I, Usher Raymond, Lil Jon na Ludacris.
Peter kupitia Instagram aliandika kuhusu wao kununua nyumba mbili huko Atlanta Marekani na kumshukuru Mungu kuwapa uwezo ambao umetokana na kufanya kazi kwa bidii.
No comments:
Post a Comment