Tuesday, 30 June 2015

KAMA HUKUONA USAJIRI WA YANGA NIMEKULETEA HAPA MTU WANGU

LAYIII
Countdown ya story za Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza mdogomdogo mtu wangu, tunasubiri August 2015 ili tuzione Timu zote kali zikitoana jasho kwenye viwanja tofauti vya Soka TZ

Yanga wamesajili hawa wawili leo, mmoja toka Ghana na mwingine toka Zimbabwe… (Pichaz)

YANGA
Countdown ya story za Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza mdogomdogo mtu wangu, tunasubiri August 2015 ili tuzione Timu zote kali zikitoana jasho kwenye viwanja tofauti vya Soka TZ.
Magazeti ya Michezo TZ yana story nyingi, zipo Timu zilizoleta makocha wapya kwa ajili ya kujiandaa na ligi hiyo, wapo waliosajili wachezaji pia.. nimepita kwenye ukurasa wa Yanga na kukutana na story kwamba nao wameongeza vifaa vyao viwili, mmoja wao anatoka Zimbabwe na mwingine anatoka Ghana.
Mpaka sasa hawajatoa majina ya Wachezaji hao ila hizo ndio post zenye pichaz za Wachezaji hao wakisaini Mikataba yao na Klabu ya Yanga.
mchezaji kutoka ghana akisain kandarasi ya yanga leo hii tumeingia nae mkataba kama mchezaji wa @yangasc
@yanga_tv 
@erictz 
@mmarumbo


 


No comments:

Post a Comment

advertise here