Tuesday, 30 June 2015

YAJUE MANENO YA SALAMA JABIR JUU YA KIBA NA DIAMOND

LAYIII
Upinzani unaoendelea kati ya Diamond Platnumz na Ali Kiba unaofanywa  na mashabiki kwenye mitandao ya kijamii umepelekea mtangazaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir na muimbaji mkongwe wa Hip Hop  Solo Thang kushindwa kuvumilia na kuamua kuyatoa ya moyoni.

Salama Jabir na Solo Thang wameyasema haya yawafikie mashabiki wa Ali Kiba na Diamond

.
.
Upinzani unaoendelea kati ya Diamond Platnumz na Ali Kiba unaofanywa  na mashabiki kwenye mitandao ya kijamii umepelekea mtangazaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir na muimbaji mkongwe wa Hip Hop  Solo Thang kushindwa kuvumilia na kuamua kuyatoa ya moyoni.

Kupitia kwenye ukurasa wa twitter Salama Jabir aliandika’Wabongo Tumekua Wakosoaji Mpaka Wasanii Wanajishtukia, Hakuna “Zuri Kabisa” Kwenye Macho Yetu… Tuwaache Wasanii Wawe “Wasanii” Nadhani!
.
Jana Tulikua Tunaongea Na Wana Job, Ali Kiba Hakuwa Mtu Wa Vioo Vikali, Yeye Alikuwa Anatoa Audio Kali Na Video Ya Mwananchi Kamaliza.Zama Zimebadilika Mpaka Anakwea Pipa Kwenda Kutoa Kideo Kikaaali Tushukuru, Kapendeza, Rangi Nzuri! Mengine Tuyaache..’aliandika Salama
.
Upinzani huo ulioanzishwa na makundi yanayojiita (TeamAliKiba na TeamDiamond) yalimkwaza pia rapper mkongwe wa Hip Hop maarufu kama Solo Thang na kuandika..’Ukiweka habari au picha au Music wa msanii Huyu mashabiki  wa yule wanakutukana! Why? ?hii burudani tu isiwe Uhasama, tujivunie sanaa yetu..’aliandika
solo 1
Solo Thang

No comments:

Post a Comment

advertise here