LAYIII
Klabu ya Barcelona imefikia makubaliano na Atletico Madrid kuhusu kumsajili kiungo Arda Turan kwa Pauni Milioni 29.
Winga huyo alizivutia pia klabu za Chelsea na Manchester United, lakini Barcelona imeshinda mbio za kuwania saini yake baada ya kufikiana makubaliano.
Barcelona yamaliza mpango wa kunasa saini ya kiungo huyu..unajua ni kwa dau gani?…
Klabu ya Barcelona imefikia makubaliano na Atletico Madrid kuhusu kumsajili kiungo Arda Turan kwa Pauni Milioni 29.
Winga huyo alizivutia pia klabu za Chelsea na Manchester United, lakini Barcelona imeshinda mbio za kuwania saini yake baada ya kufikiana makubaliano.
Barcelona
italipa Pauni Milioni 24 mbele na nyingine Pauni Milioni 5 zitalipwa
baadaye kufuatia mchezaji huyo wa kimataifa wa Uturuki kusaini Mkataba
wa miaka mitano.
No comments:
Post a Comment