Friday, 21 August 2015

Collabo ya Ice Prince na Ali Kiba, mafanikio ya Jua Kali, Ali Kiba na alichokipata kwa Neyo..255 (Audio) NA MILLARDAYO

LAYIII

neyo

255 leo inatokea Kenya..Kulikua na tukio la uzinduzi wa Coke studio msimu wa tatu.. mastaa mbalimbali wa Afrika walikuwepo, leo Ice Prince amezungumza na kusema amefurahi sana
kushirikishwa kwenye tukio hilo kwa kuwa amejifunza mambo mbalimbali…amesema wakitoka kwenye hiyo Party ya uzinduzi wataelekea studio na Ali Kiba kufanya collabo ya pamoja.
Amesema pia amekua akiwakubalia sana Diamond pamoja na Jokate.pia mastaa hao waliweza kurekodi wimbo wa pamoja akiwepo Ali Kiba,Mauce Kyria, Ice Prince pamoja na Neyo…wataiperfom katika fainali za coke Studio
LOS ANGELES, CA - JUNE 30: Recording Artist Ice Prince attends the Ford Red Carpet at the 2013 BET Awards at Nokia Theatre L.A. Live on June 30, 2013 in Los Angeles, California. (Photo by Jason Merritt/BET/Getty Images for BET)
Ice Prince
Ali Kiba amesema amefurahi kwa kuwa amepata nafasi nzuri ya kufahamu mambo mengi alipokutana na mastaa hao..amesema amemaliza collabo na Sauti Sol.
ali
Ali Kiba
JuaKali amesema chanzo cha kujitenga na Tanzania amesema alikua na project nyingi Kenya lakini atakuja kuperfom hivi karibuni Tanzania…amesema siri ya kuvuta michongo mingi kupitia kazi zake ni kushirikiana na watu, ndio sababu amekua akipata dili na makampuni makubwa ya nchini humo.
jua kali
Jua Kali
Jana kulikua na taarifa za kusikitisha kuhusu kifo cha mama yake Mayunga ambaye alifariki kifo cha ghafla akiwa Tabora lakini mwenyewe hakuweza kupatikana katika simu yake ya mkononi na 255 imeahidi kumtafuta ili kuweza kupata taarifa zaidi kuhusu msiba huo.
mayuu
Mayunga
Wasikilize hapa…


No comments:

Post a Comment

advertise here