LAYIII

.
Baada ya Lowassa kurejesha fomu ya kugombea Urais 2015 katika ofisi
za NEC, sasa ni time ya mgombea kutoka kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM)
, Dkt John Pombe Magufuli akiwa na
mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan.

.

.

Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (Kulia).
No comments:
Post a Comment