LAYIII
Ni mwaka 2015 na headlines zake za
uchaguzi mkuu Tanzania ambapo leo baadhi ya wagombea Urais wamefika
kwenye ofisi ya tume ya taifa ya uchaguzi Dar es salaam
kurejesha fomu
za kuwania Urais ambapo Macmillan Lyimo wa TLP ni mmoja wao.
Hizi ni baadhi ya picha za mgombea wa Urais Macmillan Lyimo
No comments:
Post a Comment