LAYIII
Tanzania inaendelea kujichukulia
headline baada headlines tuliona Coke Studio Africa iliwakutanisha Ali
Kiba na staa wa Marekani Ne-YO Nairobi kwenye kuandaa single mpya.
Sasa good news ninayotaka kukusogezea ni
kwamba Diamond Platnumz dakika chache zilizopita kupitia ukurasa wake
wa instagram amepost picha akiwa Neyo studio na kuandika…’Thanks alot my Brother @neyo
and the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice
working with you…can’t wait for the World to hear this Hit Song!!
Diamond Platnumz ft Neyo‘ @diamondplatnumz
Kama wewe ni shabiki wa Diamond Platnumz
basi kaa tayari kwa ujio huo mpya wa single yake aliyomshirikisha staa
wa Marekani Ne-YO.
No comments:
Post a Comment