Sunday, 15 November 2015

WAJUWE WALIOTEMBELEA PAGE YAKO YA FACEBOOK PASIPO WEWE KUJUA

LAYIII
Nimekuwa nikiona watu wengi wakitumia application kutambua niwatu gani ambao wametembeleaprofile zao za facebook..sasa nimewaleteanjia moja na rahisi isiyohitaji wewe kutumia application yeyote ile..
FUATA MAELEZO HAYA
1-nenda katika profile yako ya facebook
2-binya CTRL na herufi U yani CTRL+U kisha chagua au right click mouse yako kisha chagua ” View Page Source
3-kisha binya CTRL na F yani CTRL+F kisha kitatokea kibox kidogo ndani ya kibox hicho andika maneno haya  ordered_list.top_friends.
kama hivi

 

baada ya hapo utaona profile id za watu wote kama ionekanavyokatika picha hii
https://www.facebook.com/swaxbz1
hizo namba ambazo ziko katika vifungo ndo profile za watu hao pasipo majina yao sasa jinsi ya kuona profile za waliotembelea na kukutizama facebook ni hivi.. mimi nitachagua profile ambayo nimeichorea rangi ya blue ambayoni 100000617054353..
nenda kwenye adress bar. kisha type https://www.facebook.com/100000617054353

Natumai utakuwa umeipenda post hii
usisahau kulike page yetu ilikuweza kupokea tips zingne direct kupitia facebook https://www.facebook.com/swaxbz1

  kama unaswali unaweza kutuinbox katika page yetu au kucomment hapa


 


No comments:

Post a Comment

advertise here