LAYIII
April 25 2016 Chama cha ACT Wazalendo
kimekutana katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama jijini Dar es
salaam. Katika hotuba yake Kiongozi Mkuu wa chama hicho na Mbunge wa
Kigoma Mjini Zitto Kabwe amempongeza Rais John Magufuli kwa kuanza katika eneo la ufisadi ambalo ni muhimu sana ambalo anasema ni msingi mkubwa wa kuanzishwa chama chao.
Licha ya kumuunga mkono kwa hatua hizo
anazozichukua lakini ameelezea namna Rais Magufuli ambavyo amekuwa
akiingilia majukumu ya Mawaziri, Zitto amesema ……
No comments:
Post a Comment