Tuesday, 28 July 2015

HIVI NDIVYO CHADEMA ILIVYO MPOKEA LOWASSA

LAYIII

3X6A9394
July 27 2015 Mbunge James Mbatia ambaye ni mmoja ya Viongozi wa juu wa Jumuiya ya Vyama vinavyounda umoja wa UKAWA aliongea maneno haya baada ya Viongozi wote kukaa Kikao na kukubaliana >>>> “Nachukua fursa hii kumualika Mheshimiwa Lowassa ajiunge na UKAWA na tuko tayari kushirikiana nae kuiondoa CCM madarakani”— James Mbatia.

3X6A9441
Viongozi wa UKAWA wamekutana Bahari Beach Dar July 28 2015, wakiwa wameongozana na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa na kuumaliza utata wa maswali mengi kuhusu uamuzi wa Lowassa baada ya jina lake kutopitishwa kwenye Urais CCM.
Mbunge Edward Lowassa alitumia muda mfupi tu kuthibitisha kujiunga CHADEMA, na hii ni sehemu ya alichokisema.

1 comment:

advertise here