Sunday, 21 June 2015

BABA DAY KUVUNJA RECORD YA DUNIA MTOTO WA CHRISS BROUN NDO MGENI RASMI

LAYIII
MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani

CHRIS BROWN AANDAA SHEREHE YA SIKU YA BABA DUNIANI, BINTIYE NDIYE MGENI RASMI


Chris Brown akiwa na binti yake Royalty Brown.
MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani ambapo mgeni rasmi atakuwa binti yake Royalty Brown
mwenye umri wa mwaka mmoja.


Chris amewaalika marafiki zake wenye watoto kujumuika naye katika sherehe hiyo inayofanyika leo huko Marekani.
Siku ya Baba Duniani katika nchi nyingi huadhimishwa Jumapili ya tatu ya Mwezi Juni kila mwaka.

 


No comments:

Post a Comment

advertise here