Mwanamuziki Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza kuwa lebo
yake imeingia partnership na lebo kubwa ya Muziki Duniani inayojulikana
Kama Universal Music, Lebo hiyo
itakuwa inasambaza kazi za Wasanii wote wa WCB na Mkataba wake adai amelipwa Dola Milion Moja...
itakuwa inasambaza kazi za Wasanii wote wa WCB na Mkataba wake adai amelipwa Dola Milion Moja...
Diamond Ameongea hayo katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM,,,
No comments:
Post a Comment