Baada
ya kukaa kimya kwa muda kidogo, mwimbaji star kutoka lebel yenye mastaa
wakali sana Tanzania, WCB, Richard a.k.a Rich Mavoko a.k.a Tajiri wa
Vocals amekutana kwa mara ya kwanza kwenye collabo na Diamond Platnumz,
ndani ya brand new joint “Kokoro”.
Mzigo huu
ni another hit kutoka “nyumba ya ngoma kali” kama wanavyoiita wenyewe,
umetayarishwa na maproducer wawili ambao ni Lizer kutoka WCB na Abby
Daddy.
Unaweza kuiskiliza kwa kubonyeza Play hapo chini au ipakue kwa PLAY
No comments:
Post a Comment