Monday, 29 June 2015

NUNGU NUNGU MWACHE KA ALIVO USIPAPALIKE KUMMEZA MCHEKI CHATU HUYUU

LAYIII
Ndani ya hifadhi ya Eland Game Reserve iliyoko KwaZulu-Natal, South Africa mwendesha baskeli alikatisha siku ya June 14 2015, akakutana na chatu mkubwa mzima kabisa aliyeonekana kama amekula na kushiba kupita kiasi… akampiga picha na kushare na watu wake mitandaoni.

Njaa ikamfanya chatu kula Nungunungu na miba yote aliyonayo, kilichofuatia je?

python-alive
Ndani ya hifadhi ya Eland Game Reserve iliyoko KwaZulu-Natal, South Africa mwendesha baskeli alikatisha siku ya June 14 2015, akakutana na chatu mkubwa mzima kabisa aliyeonekana kama amekula na kushiba kupita kiasi… akampiga picha na kushare na watu wake mitandaoni.

Watu wengi walisogea pia nao kujionea tu jinsi chatu huyo alivyo kwa sababu sio kawaida unaweza kukutana na Chatu alafu akakuacha hivihivi… Siku sita baadae yule chatu alikutwa amekufa, wakaja walinzi wa hifadhi hiyo wakampasua ili kujua nini kilichomfanya afe !!
Python SA
Kumbe chatu alikula nungunungu.. ndani ya tumbo kakutwa nungunungu huyo japo hawana uhakika kama ni kweli nungunungu kasababisha kifo cha chatu huyo.
porcupine_668_600x450
Unaweza kujiuliza Chatu alianzaje kula Nungunungu na hiyo miba yote !!
porcupine-dead
Nungunungu alivyotolewa kwenye tumbo la Chatu
python-alive-2
python-skin-cut-quills
Miba ya Nungunungu iliyokutwa ndani ya tumbo la Chatu.

No comments:

Post a Comment

advertise here