LAYIII
Mwezi February 2015 Rapper kutoka Uganda, Navio alitua TZ kwa ajili ya show ambayo ilifanyika Club Billz, Dar es Salaam ilimshuhudia star huyo alipofanya uzinduzi wa Video ya Hit song ya ‘Kigozi‘.
Uwepo wa Navio ndani ya TZ ulikuwa na kingine kizuri, walikutana na Mr. Blue
na kupiga collabo ambayo tayari imefanyiwa video… kama hujakutana na
video hiyo basi unaweza kuchukua kama dakika nne hivi kuicheki hapa.
No comments:
Post a Comment