Monday, 29 June 2015

ZIJUE STORY KUBWA LEO TANZANIA

LAYIII
Good morning mtu wa nguvu !! Kila siku asubuhi huwa ninakuwekea karibu Uchambuzi wa Stori kutoka kwenye Magazeti yote ya Tanzania baada ya kurekodi kutoka kwenye show ya #PowerBreakfast @CloudsFM… kilichosikika leo ninacho pia, stori ni hizi hapa;

Stori Kubwa June 30 2015 >>>Ishu ya Mafuta TZ, uandikishaji BVR Dar na Pwani, Mzee Mkapa na Mwinyi na Urais CCM..

BRT-curb-traffic-jams-Dar-es-Salaam
Good morning mtu wa nguvu !! Kila siku asubuhi huwa ninakuwekea karibu Uchambuzi wa Stori
kutoka kwenye Magazeti yote ya Tanzania baada ya kurekodi kutoka kwenye show ya #PowerBreakfast @CloudsFM… kilichosikika leo ninacho pia, stori ni hizi hapa;
Iko stori ya Polisi Dar kuwashikilia watu watu ikiwemo mtoto wa aliyekuwa Waziri Tanzania, Mzee Ntimizi kwa tuhuma za mauaji ya mmiliki wa Shule, Tume ya Taifa NEC iimeahirisha zoezi la Wapigakura Dar na Pwani.
Marais Wastaafu Benjamin Mkapa na Ali Hassan Mwinyi wameungana na Baraza la NEC ili kujadili Mchakato wa Urais CCM… Lowassa amemaliza safari ya kukusanya wadhamini TZ kwa kupata wadhamini zaidi ya 800,000.
Kuna mahojiano na Naibu wa Waziri Charles Mwijage ambae amesema TZ ina akiba ya Mafuta ya kiutosha na hakuna ukweli kwamba kuna uhaba wa mafuta.
Kuna mahojiano na Mjumbe wa Tume ya NEC ambae amesema wamesitisha Kuandikisha Wapigakura ili wakusanye vifaa vyote vilivyoko Mikoani ili zoezi lifanyike kwa uharaka zaidi Dar na Pwani.
Hizo zote ziko kwenye hii sauti hapa mtu wangu.

 


No comments:

Post a Comment

advertise here