Monday 29 June 2015

ULIMISI KUONA MAPOKEZI YA STEVE NYERERE KATIKA HARAKATI ZA KUGOMBEA UBUNGE NIMEKUWEKEA HAPA MTU WANGU

LAYIII
Kwenye list ya mastaa wa TZ waliotangaza kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi wa 2015 lipo pia jina la mastaa wa Bongo Movie, Steve Mengere aka Steve Nyerere.
Jamaa alikuwa anamaanisha kabisa kuhusu safari yake kwenye Siasa, hapa nina pichaz kutoka kutoka viwanja vya CCM Bwawani ambapo Steve alikuwa akitangaza nia hiyo.

Mapokezi ya Steve Nyerere alivyotangaza kugombea Ubunge wa Kinondoni (Pichaz)

Steve II
Kwenye list ya mastaa wa TZ waliotangaza kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi wa 2015 lipo pia jina la mastaa wa Bongo Movie, Steve Mengere aka Steve Nyerere.
Jamaa alikuwa anamaanisha kabisa kuhusu safari yake kwenye Siasa, hapa nina pichaz kutoka kutoka viwanja vya CCM Bwawani ambapo Steve alikuwa akitangaza nia hiyo.

Screen Shot 2015-06-28 at 10.29.12 PM
Meza kuu iliyokuwa na viongozi wa CCM pamoja na Steve Nyerere mwenyewe.
Screen Shot 2015-06-28 at 10.29.57 PM
Mastaa wa Bongo Movie nao walijitokeza kumpa support ya nguvu mtu wao.. alikuwepo JB, Wastara, Stara Thomas, Thea, Bi Mwenda, Ray Kigosi na wengine… lakini kulikuwa na burudani ya Twanga Pepeta.
Screen Shot 2015-06-28
Steve Nyerere na Bodyguard wake
Screen Shot 2015-06-28 at 10.30.06 PM
Screen Shot 2015-06-28 at 10.30.14 PM
Baadhi ya mastaa waliotoa burudani, hapo ni Ali Choki, Stara Thomas na Luiza Mbutu.
Screen Shot 2015-06-28 at 10.30.23 PM
Team ya dancers wa Twanga Pepeta ikiongozwa na Super Nyamwela.
Screen Shot 2015-06-28 at 10.30.31 PM
Mwigizaji Thea alikuwa mmoja ya watu wa Bongo Movie waliojitokeza
Screen Shot 2015-06
Screen Shot 2015-06-28 at 10.29.49 PM
Screen Shot 2015-06-28 at 10.29.41 PM
Screen Shot 2015-06-28 at 10.29.32 PM
Screen Shot 2015-06-28 at 10.29.25 PM
Mwigizaji Bi Mwenda
Screen Shot 2015-06-28 at 10.29.18 PM
Mama zangu, baba zangu, vijana wenzangu.. jitokezeni kujiandikisha ni haki yenu ya msingi hasa katika Uchaguzi Mkuu ujao… Mimi Steve Nyerere nimeamua kwa dhati kujitoa na kutangaza nia ya kuwania Ubunge wa Kinondoni“– Steve Nyerere.

 



No comments:

Post a Comment

advertise here