Monday 29 June 2015

MTOTO WA JK ATHIBITISHWA MAREKANI KUWA NA AKILI NYINGI......AIWAKILISHA TANZANIA VIZURI KWA KUPOKEA MEDANI

LAYIII
mtoto wa Rais JK, Khalfan Jakaya Kikwete ameiwakilisha TZ vizuri kwa kushinda medali Marekani katika mashindano ya kusaka wanafunzi wenye akili nyingi.

Mtoto wa Rais JK na ushindi wa Medali Marekani, Urais CCM.. Ushirikina kwa Walimu Mara

29
Jumatatu JUNE 29 2015 tayari siku nyingine imeanza, stori za Magazetini zina headlines nyingi tofauti tofauti, unajua nini kimetawala leo?
Kwenye stori kubwa iko ya Edward Lowassa kuwakimbiza wenzake katika safari ya kugombea Urais CCM, UKAWA yawasha moto wa BVR Dar es salaam kwa kutoa elimu ya matumizi ya mashine hizo.. iko nyingine pia kuhusu mtoto wa Rais JK, Khalfan Jakaya Kikwete ameiwakilisha TZ vizuri kwa kushinda medali Marekani katika mashindano ya kusaka wanafunzi wenye akili nyingi.
Stori nyingine inahusu Walimu mkoani Mara kuteswa, wamefanyiwa vitendo vya kishirikina, kuibiwa mali zao na kubakwa, kitendo kilichosababisha walimu hao kuomba uhamisho… Nyingine kubwa ya leo ni kutoka Uingereza ambako vijana nchini humo wametakiwa kuvuna mbegu za kiume watakapofika miaka 18.

 



No comments:

Post a Comment

advertise here