LAYIII
Headlines nyingine zilianza kuandikwa
Tanzania kwenye Siasa 2015, ambapo July 28 2015 Waziri Mkuu wa zamani na
Mbunge wa Monduli alikaribishwa CHADEMA na kupewa Kadi za Uanachama
yeye pamoja na mkewe, Mama Regina Lowassa.
Stori baada ya stori zikaendelea
kutawala kuanzia hapo, akafika Makao Makuu ya Chama hicho Kinondoni Dar
es Salaam kuchukua Fomu na kurudisha pia… August 04 2015 Kikao cha Chama
hicho kimefanyika Ukumbi wa Mlimani City Dar, Edward Ngoyai Lowassa ametambulishwa kuwa Mgombea Urais wa umoja wa Vyama vya UKAWA na Juma Duni Haji ndio Mgombea Mwenza.
Hapa ni pichaz ilivyokuwa kuanzia nje mpaka ndani ya Ukumbi.
No comments:
Post a Comment