WEMA LEO NI LEO ATAKATWA AU ATAINGIA MJENGONI KUWA NAMI KATIKA BZNOON NA SWAXBZ.COM
LAYIII No comments
Actress grade one Bongo Wema Sepetu, ni miongoni mwa wasanii kadhaa
waliojitokeza kuomba nafasi za kuwania uongozi Tanzania katika vyama
mbali mbali.
Mrembo huyo anawania kuteuliwa kuwa Mbunge wa viti maalum , kupitia jimbo la Singida mjini.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa meneja wake, Martin Kadinda ameandika
machache kuhusiana na Wema pamoja na kumtakia kheri kwa kuwa leo ndio
siku ya kufahamu hatma ya safari yake ya kiuongozi aliyoianza miezi
kadhaa iliyopita.
“Wema sepetu Muda mfupi Baada ya kuwasilia katika ofisi kuu za Chama Cha mapinduzi Mkoa wa Singida #mudamchache mkutano mkuu utaanza ukifuatiwa na uchaguzi wa Ubunge Viti maalumu mkoa wa Singida #KilaLaheri#salaNaMaombiYetukwakoWemasepetu#umethubutuNatunakusupport” ameandika Martin.
Katika ‘line’ nyingine, wasanii kadhaa wamejitokeza kumtakia
mafanikio mema Wema Sepetu akiwemo Ommy Dimpoz, Nargis Mohamed, Batuli
na Shamsa Ford. Times fm tunamtakia kila la heri binti huyu wa
kitanzania.
No comments:
Post a Comment