Friday, 24 July 2015

LOWASA ABANWA...........NA MASHINE ZA BVR DAR TATIZO........!!!!!!!!! KATIKA POWER BREAKFAST {ZIARA YA OBAMA}

LAYIII

headlines1
Uchambuzi wa magazeti redioni leo umekupita? Nimekusogezea stori zote za magazeti zilizosikika @Clouds.fm zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…
Tatizo la BVR linazidi kuwa kubwa, kasoro za uandikishaji zinazidi kujitokeza jijini Dar huku Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Meck Sadik akiomba mashine za BVR kuongezwa na zile mbovu kutengenezwa.

Mkazi wa Dar es Salaam auwawa baada ya kuwachoma abiria 5 wa daladala litokalo Posta kwenda Simu2000 visu na ajali ya basi la SIMIYU litokalo Dar kwenda Mwanza yauwa watu 10 huku 53 wakiwa majeruhi chanzo ni mwendo kasi wa dereva.
Wagombea Ubunge CCM wachapana ngumi majimboni chanzo lugha ya siasa chafu ya kuchafuana, Kura za maoni CHADEMA lawama na ubabe vya tawala na Edward Lowassa apigwa shinikizo kali  washirika wake sasa wataka maamuzi.
CHADEMA yatikisa ngoma ya Wassira, na kwa wenzetu wa Kenya wasimama Ziara ya Barack Obama anaetegemea kuwasili nchini humo leo kwa Ziara ya siku 3 kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Kibiashara G.E.S.
Sauti ya stori zote zilizoweka vichwa vya habari iko hapa..



No comments:

Post a Comment

advertise here