LAYIII
Klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo ipo Marekani kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Hispania imezidi kujenga uhusiano mzuri na NBA… Barcelona siku chache zilizopita ilimualika mkali wa Basketball anayeichezea Los Angels Lakers Kobe Bryant kutembelea timu yao wakati wa mazoezi sambamba
Kitu kilichovutia zaidi pale Harrison Barnes alipokuwa anawafundisha Iniesta, Busquets na Pique namna ya kucheza Basketball lakini Gerard Pique ndiye alionekana kuelewa haraka mafunzo ya mchezo huo.

Pichaz za Wachezaji wa FC Barcelona walipokutana na mabingwa wa NBA, Iniesta, Busquet na Pique waliweza Basketball?
Klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo ipo Marekani kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Hispania imezidi kujenga uhusiano mzuri na NBA… Barcelona siku chache zilizopita ilimualika mkali wa Basketball anayeichezea Los
Angels Lakers Kobe Bryant kutembelea timu yao wakati wa mazoezi sambamba na kutazama mataji yao.
July 23 FC Barcelona ilitembelea San Francisco State University mahali ambapo ilikutana na mkali mwingine wa Basketball Harrison Barnes wa Golden State Warrios akiwa na kombe la NBA walilotwaa mwaka huu, huku Fc Barcelona wakiwa na kombe la klabu bingwa barani Ulaya.
Kitu kilichovutia zaidi pale Harrison Barnes alipokuwa anawafundisha Iniesta, Busquets na Pique namna ya kucheza Basketball lakini Gerard Pique ndiye alionekana kuelewa haraka mafunzo ya mchezo huo.
No comments:
Post a Comment