LAYIII
Siri CCM na UKAWA nje, Mke wa DK.Slaa afichua siri, Magufuli na wazawa wa gesi, Lowassa na ‘Operation Tokomeza? (Audio).
Uchambuzi wa Magazeti @CloudsFM
ni sehemu inayokupa habari zote zilizoweka headlines magazetini, kazi
yangu ni kukusogezea zile kubwa kubwa kwenye vichwa vya habari…
Siri yafichuka CCM na UKAWA vyama hivyo vimeanzia kampeni nyanda za juu kusini, Mke wa
Dk. Wilbroad Slaa akana kushindia mihogo, Philip Mangula afichua siri ya CHADEMA na Rais Jakaya Kikwete asema CCM imejipanga kwa ushindi mzito.
Dk. Wilbroad Slaa akana kushindia mihogo, Philip Mangula afichua siri ya CHADEMA na Rais Jakaya Kikwete asema CCM imejipanga kwa ushindi mzito.
Mke wa Dk. Slaa ameikana kauli ya Dk. Slaa
kushindia Mihogo, asema watoto wao hawajawahi kuishi kwa kutegemea
chakula hicho na amekana kuwa Slaa alikuwa haongei na mgombea Urais
kupita CHADEMA Edward Lowassa… Mgombea Urais kupitia CCM John Magufuli kuteka Morogoro leo.
Lowassa ahaidi kuchunguza upya Operation Tokomeza, Magufuli kuwapa kipao mbele wazawa wa uchumi wa gesi Mtwara… Kada wa CCM Didads Masaburi amekiri kukutana na vijana wanajifanya wafuasi wa CHADEMA walioandamana Dar es salaam.
Na kuna stori kutoka Arusha inasema Padri mtarajiwa akamatwa na kwa muaji jijini humo..
Unaweza kusikiliza uchambuzi wote wa magazeti hapa chini kwenye hii sauti.
No comments:
Post a Comment