Saturday, 5 September 2015

FIRST ELEVEN KWA TEAM ZOTE MBILI TAIFA STAR NA NIGERIA

LAYIII

Kabla ya mechi kuanza naomba nikusogezee first eleven ya timu zote mbili. Taifa Stars Vs Nigeria, mechi itakayopigwa muda mchache kuanzia hivi sasa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

DSC_8435
Kikosi cha Taifa Stars
DSC_8433
Kikosi cha Nigeria Super Eagles
DSC_8443
Hii Line Up ya Timu zote mbili

No comments:

Post a Comment

advertise here