Saturday, 5 September 2015

POLICE WAKIMBIA KUMUOKOA MTOTO ALIYEKUA KAFUNGIWA KWENYE GARI

layiii

Team ya polisi huko Oakland, California walipigiwa simu na wananchi baada ya mtoto mchanga kuonekana akiwa kaachwa kwenye gari na madirisha yakiwa yamefungwa. Ili
kumuokoa mtoto huyo walivunja dirisha la gari hiyo kwa haraka na huku wakiwa tayari na madaktari wakisubiri kuokoa maisha ya mtoto huyo mchanga.

Baada ya kuingia kwenye gari, hawakuamini macho yao.




Huwezi kuamini hakua mtoto bali alikua mdoli, mdoli aliyefanana na mtoto kabisa. Mapolisi hao walimuelewa raia aliyewapigia kwasababu hata wao walipomuona walishangaa sana.

No comments:

Post a Comment

advertise here