Saturday, 5 September 2015

MATOKEO YA MECHI YA TAIFA STARS VS NIGERIA

layiii
Timu ya taifa ya Tanzania na Nigeria September 5 zimekutana kucheza mechi ya kuwania tiketi ya kufuzu kucheza AFCON 2017, ikiwa ni zaidi ya miaka 20 toka zikutane katika mechi za mashindano. Nigeria inayonolewa na kocha mzawa Sunday Oliseh ndio imecheza mechi ya kwanza
toka ianze kufundishwa na kocha huyo.
DSC_8510
Kwa upande wa Taifa Stars ambayo haina point hata moja katika kundi lake baada ya kufungwa mchezo wa kwanza na timu ya taifa ya Misri kwa jumla ya goli 3-0, imeshuka uwanjani kuwania point 3 ili iweze kukufua matumaini ya kupata tiketi ya kucheza AFCON 2017.
DSC_8451
William Ekong akimkaba Mbwana Samatta
Mechi iliyochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam imemalizika kwa timu zote kutoka sare ya bila kufunga, japo Taifa Stars kupitia kwa Mrisho Ngassa na Thomas Ulimwengu ilipoteza nafasi mbili za wazi.
Hizi ni picha za mechi hiyo mtu wangu.
DSC_8453
Golikipa wa Nigeria Ikeme Onora ndiye aliyekuwa mbadala wa Vincent Enyeama
DSC_8464
Mbwana Samatta akijaribu kumtoka beki wa Nigeria Solomon Kwambe
DSC_8474
Mbwana Samatta katika harakati za kutafuta nafasi
DSC_8479
Mrisho Ngassa akiwa chini baada ya kupata maumivu
DSC_8504
DSC_8506
DSC_8508
DSC_8515
Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Kingsley Madu
DSC_8520
Ikeme Onora alipokuwa mkali kwa mabeki zake baada ya shambulizi la Taifa Stars
DSC_8527
Farid Musa akionyesha umahiri wake
DSC_8546
Mrisho Ngassa akimkimbia Igboun Emekea
DSC_8557
Farid Musa akiwa ameanguka chini huku William Ekong akiendelea na harakati za kuokoa
DSC_8561
Mrisho Ngassa akitafakari namna ya kupata nafasi ya kufunga
DSC_8564
Said Hamis Ndemla akiingia kuchukua nafasi ya Mudathir Yahaya
DSC_8574
Mrisho Ngassa baada ya kukosa goli
DSC_8582
Ikeme Onora akiwapanga mabeki wake
DSC_8598
John Bocco na Mbwana Samatta
DSC_8617
Igboun Emekea akiwa chini baada ya kupata maumivu
DSC_8653
Madaktari na watu wa huduma ya kwanza wakitoa huduma ya kwanza kwa mchezaji wa Taifa Stars.

No comments:

Post a Comment

advertise here