Thursday, 3 September 2015

UGENI MPYA NYUMBANI KWA MR BLUE

LAYIII
Msanii wa muziki wa Bongo Flava Mr Blue ana asbabu kubwa sana ya kufurahia siku hii ya leo, dakika chache zilizopita Mr Blue ameshare na sisi furaha yake kubwa ya kumkaribisha mtoto wake
pili duniani… kupitia Instagram yake Mr Blue amepost picha ya mtoto wake na ujumbe wa shukrani unaosema..
>>>“Alhamdulilahi Mungu ni mwema sana sana… hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru, namshukuru sana Mungu wangu na nashukuru pia mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine nzuri… nimepata mtoto mwingine wa kike ndugu zangu anaitwa #khairriyaaa… ahsante Mungu kwa kunipa baba na mama wa kunilea tena uzeeni…”<<< @mrbluebyser1988.
byserblue
Hongera sana Mr Blue kwa kupata mtoto wa kike!

No comments:

Post a Comment

advertise here