Saturday 25 June 2016

MTATUUA JAMANI VAENI CHUPI

SUBSCRIBE HAPA
https://youtu.be/BqEzeRCjiQs
Dada zetu siku hizi hawapendi kuvaa chupi kabisa.Wenyewe wanadai wanataka wapigwe upepo kunako. 
Sasa wengine nguo wanazovaa ni hatari tupu,unakuta kavaa nguo laini na mzigo kajaliwa huo mtikisiko sasa mpaka presha zinatupanda. 
Na wengine mpaka tamu yote inaonekana. Dada zetu hembu tuoneeni huruma
sisi watoto wa watu. Tunajua ni utandawazi lakini sasa mmezidisha.


No comments:

Post a Comment

advertise here