LAYIII
Good news ninayotaka kukusogezea ni hii
kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, H Baba ambaye ametangaza rasmi sasa
hivi kurudi kwenye soka na kujiunga na timu ya Toto African.
‘Kupitia
kwenye kipindi cha AMPLIFAYA cha Clouds FM july 7, 2015 alifunguka na
kusema’Ni kweli kwamba mimi nina vipaji vingi sasa ubora wa vipaji ni
kuvioneshaMsanii H baba kuichezea Toto African?, maneno yake nimekuwekea hapa
Good news ninayotaka kukusogezea ni hii
kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, H Baba ambaye ametangaza rasmi sasa
hivi kurudi kwenye soka na kujiunga na timu ya Toto African.
‘Kupitia
kwenye kipindi cha AMPLIFAYA cha Clouds FM july 7, 2015 alifunguka na
kusema’Ni kweli kwamba mimi nina vipaji vingi sasa ubora wa vipaji ni
kuvionesha kwasababu nilishawahi kucheza soka na hii ni timu ya nyumbani
timu nyingi zilishawahi kunihitaji sema muda mwingi sana nilikua kwenye
kazi zangu za muziki kwa hiyo kwasasa hivi najipanga kwa mambo mengi
wasishangae nikafanya vitu tofauti’– H Baba
‘Hapana siwezi kuacha muziki siwezi
kuacha mpira siwezi kuacha filamu ni vitu vyote ambayo ninavyovipenda na
siwezi kuja kuviacha mimi umri wangu bado mdogo unaniruhusu kuingia
kwenye soka kwasasa hivi mimi niko Toto African watu wajiandae tu
wafahamu kuwa niko Toto ila bado tupo katika harakati kwamba tutakapokaa
sawa kuzungumza yakifikia sasa maafikiano ila Yanga na Sima wajiandae’ – H baba
No comments:
Post a Comment