Wednesday, 8 July 2015

JIMBO JIPYA LAGUNDULIKA DAR

LAYIII
Wafanyabiashara ni wengi na kila mmoja anataka mambo yake yaende vizuri ndio maana kwa gharama zote anazozimudu anahakikisha amefanikisha kufikia lengo la kuteka wateja wengi. Baada ya mwezi mtukufu mpango wa burudani Dar es salaam unahamia kiwanja kipya cha night club
kinaitwa MAISHA BASEMENT Kijitonyama Dar es salaam chini ya ardhi ya jengo jipya refu, zaidi tazama hii video hapa chini.

Maisha Club

No comments:

Post a Comment

advertise here