LAYIII
Hakika vigodoro haviwezi kuisha dar bonyeza picha hii kushudia vigodoro vingine
Kwa mujibu wa Diva wa Muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee, ni kwamba hawakuwahi kuonana na Diva mwenzie Ray C kwa zaidi ya miaka 6.
Sasa juzi wakali hawa wamekutana tena, japo haijawekwa wazi ni wapi lakini furaha ya Jaydee Hit maker wa Ndindindi ilikuwa kubwa kiasi cha kuandika ujumbe mzito Instagram.
“Thank you for visiting me doll( Ray C) A message of Hope: Kila Mtu Anapitia Magumu Katika Maisha
Kwa Njia Tofauti Hakuna Jaribu Lisilo na Mlango wa Kutokea, Amini na Amua Nakupa Moyo na Mungu Akusaidie Kwa Yote Unayopitia Akuondolee Akuepushie Na Akupe Kufahamu na Kukiri Mabaya Watu Wanakupenda Nakumbuka Tulivyo Anza Kimtindo nai miss Competition Pls Come Back Naamini Bado Unayo Nafasi Binti Amka Jikaze Anza Mwendo Umrembo na Bado Wang’ara Ni baada ya miaka 6 Tangu kuonana mara ya Mwisho Story nazo ni ndefu na nyingi Ombi: Tuheshimu na kuhurumia matatizo ya wengine, tafadhali msi comment vibaya wala kwa kejeli. Lolote linaweza kumfika yoyote SAA yoyote Tuonyeshe Mapenzi Alamsiki #PowerOfPositivity”

No comments:
Post a Comment