Saturday 14 November 2015

MWANADADA aliyefahamika kwa jina moja la Mbuva, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar, hivi karibuni amejikuta akiharibiwa uso wake kwa kumwagiwa mafuta ya moto na shosti wake aitwaye Mama Sofia, kisa kikidaiwa ni mume wa mtu.
BONYEZA PICHA KUONA TUKIO NZIMA
https://youtu.be/FchLBEZdBww
Mbuva, akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa mafuta ya moto.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo inadaiwa mama Sofia alimfanyia mwenzake unyama huo akimtuhumu kutembea na bwana wake.Akisimulia ilivyokuwa, Mbuva
alisema: “Mama Sofia alipewa maneno ya uongo kwamba akiwa safarini eti nilitembea na bwana wake.
KUTANA NA NGUVA ALIYE TAFUNA MKONO WA MTU HAPA “Siku ya tukio alinipigia simu akaniita kwake, nilikuwa sipajui ila akanielekeza, ile nafika tu majirani zake wakamwambia mimi ndiye nilikuwa nakwenda kulala pale na mume wake.“Nikajaribu kujitetea lakini hakunielewa. Nikaondoka, baadaye akaniita tena, kufika pale nikakuta ugomvi kati ya mama Sofia na mumewe, ghafla mama Sofia akatoka akiwa na HUYU NAYE KAWACHANGANYA MAJAJI kikombe cha mafuta ya moto akanimwagia usoni.
“Nikaanza kupiga kelele, watu wakajaa  ndipo tukachukuliwa wote na kupelekwa katika Kituo cha Polisi cha Mazizini na tukaandikisha, mimi nikakimbizwa hospitali. Ameniharibu uso wangu bila kosa, Mungu atanilipia kwani naamini malipo ni hapahapa duniani.”
Mama Sofia hakuweza kupatikama mara moja kuzungumzia tukio hilo.

KISA WIVU, AMWAGIWA MAJI YA MOTO NA MPENZI WAKE BONYEZA PICHA KUSHUDIA TUKIO NZIMA

https://www.youtube.com/watch?v=3IfFYSsCOvE
Juma Ally akionyesha jeraha alilolipata baada ya kumwagiwa maji ya moto na mpenzi wake. Na Haruni Sanchawa
MAPENZI kiboko! Juma Ally, mkazi wa Mongolandege Ilala jijini Dar es Salaam, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya moto na mpenzi wake, Swaumu Shemsanga, kisa kikidaiwa kupishana kauli kwenye mazungumzo yao. Anayedaiwa kummwagia maji ya moto Juma Ally. Chanzo makini kimelieleza gazeti hili kuwa tukio hilo lilitokea mwishoni mwaĆ¢€¦


No comments:

Post a Comment

advertise here